
Mchekeshaji Kevin Hart ameamua kuitumia Scandle yake
kama fursa katika kujipigia promo ya Tour yake ya IRRESPONSIBLE, ila upande wa
pili wa mwanamke ambaye alionekana katika video na Kevin Hart iliyovuja,
amemshangaa Kevin Hart kwa swala hilo kuliweka kwenye utani.


Mrembo huyo ameshangaa sana kuona Kevin Hart
situation kama hiyo kuifanyia masihala katika trailer la Promo ya Tour yake, anadai
kwamba Kevin ameshindwa kufikilia upande wa pili wa kwake kutokana kwamba
amekuwa akitukwanwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba ni Malaya pamoja na
kutishiwa kifo na watu ambao hawajulikani.
Trailer Promo la Tour ya Kelvin Hart, humo ndani
kwanza wanaonekana kina Kevin Hart kama watano hivi, alafu wanamuuliza mwaswali
Kevin Hart mwingine kuhusu Skendo zake alizokutana nazo za Kule Miami pamoja na
Las Vegas ambapo Video tape yao ilivuja.
0 comments:
Post a Comment