KUANGALIA PICHA ZA NGONO KAZINI, ITALIA NI JAMBO LA KAWAIDA

Unaambiwa kwa wenzetu wa Italiano ukikutwaunavuta bangi kwenye muda wa mapumziko hiyo ni issue kubwa sana na pengine itakugharimu kazi yako, lakini sio kwa kutazama picha za utupu kwenye muda wa mapumziko kazini kwani kitendo hicho hakitaathiri kwa vyovyote vile utendaji wako wa kazi kama vile ambavyo bangi ina uwezo mkubwa wa kuathiri utendaji kazi wa mtu kushuka ofisini!.

Kwa mujibu wa mtandao waComplex wa Marekani, Mahakama ya Juu ya Italy imesema kwamba unaweza kufukuzwa kazi kama ukikutwa unavuta bangi muda wa mapumziko kwani kitendo hicho kinaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa kusababisha utendaji kazi wa mtu kushuka, lakini utazamaji wa picha za utupu hauathiri utendaji wa kazi kwa kiasi chochote kile bali itategemea na mtu mwenyewe.

0 comments:

Post a Comment

Today Is Monday, April 21.