USHAWAHI KUKUTANA NA KEKI YENYE GHARAMA YA MILIONI 168?

Image result for Gucci MANE cake
Achana na Gharama nzima ya Harusi yao kutumia Dola za Kimarekani Milioni 1.7, Unaambiwa ile Keki ya kwenye harusi ya Gucci Mane pamoja na mke wake Keyshia, ilikuwa na gharama ya kama Milioni 168 hivi za Pesa za madafu.
Image result for Gucci MANE wedding
Rapper Gucci Mane aliamua kuifanya siku hii kuwa ya kipekee Zaidi kumuoa rafiki yake wa muda mrefu, Sasa Keki ndio ilikuwa habari ya mjini kwenye mitandao ya kijamii, Ile Keki kwanza inatajwa kuwa  ina urefu wa futi 10, alafu maandalizi yake yalitumia miezi mitatu na katika sekta ya Uokaji ilitumia takribani Siku tatu za jikoni, Bila kusahau Gharama ya keki ni sawa na Milioni 168 na laki hivi.

 Image result for Gucci MANE wedding cake

0 comments:

Post a Comment