
Kwa Bongobongo Mitandao ambayo tayari imeshaingia katika huduma ya 4G network ni kama Vodacom, Tigo, Zantel na TTCL, mbali na kuwa na mitandao hiyo ambayo inatoa huduma ya 4G, hizi ndizo nchi kubwa Duniani ambazo zinatoa huduma ya 4G kwa kasi ya 45.9 Mbps hadi 34.9 Mbps
HIZI NDIZO NCHI TANO AMBAZO ZINATOA HUDUMA YA 4G KWA KASI KUBWA 2016
1.Singapore, 45.9 Mbps
2.South Korea, 45.8 Mbps
3.Hungary, 40.6 Mbps
4.Romania, 35.6 Mbps
5.New Zealand, 34.9 Mbps
0 comments:
Post a Comment