HII NDIO REKODI YA NEYMAR Jr KWA SOKA LA AMERIKA:



Baada ya timu ya taifa ya Argentina kupokea kichapo cha 3-0 hapo jana dhidi ya Brazil majila ya saa nane usiku kwa masaa ya afrika mashariki, Neymar jr ametajwa kuwa mwanasoka mdogo kufikisha magoli 50 katika amerika ya kusini.

Star wa FC Barcelona na mchezaji wa timu ya taifa ya Brazil, Neymar da Silva Santos Junior ameweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi (24) katika soka la bara la amerika ya kusini kufikisha magoli 50 kuifungia nchi yake.




0 comments:

Post a Comment