HIKI NDICHO KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOIVAA TANZANIA PRISONS


Image result for simba sports club
Klabu ya Simba imetoa orodha ya kikosi chake ambacho kitapambana leo na timu ya Tanzania Prisons katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine.


Simba imekaa miaka minne bila ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu tangu mwaka 2012 ambapo kwa sasa kikosi hicho kina nafasi kubwa ya kuutwaa ubingwa huo kutokana na kuwa kileleni mwa ligi baada ya mechi 14, kikiwa na pointi 35, tano mbele ya Yanga iliyopo nafasi ya pili.

0 comments:

Post a Comment