YEMI ALADE KUJA NA KOLABO NA MSANII HUYU WA BONGO

Image result for yemi alade
Msanii kutoka Nigeria, Yemi Alade amefunguka kuwa anampango wa kufanya kazi na mtanzania Vanessa Mdee.

Yemi Alad alifunguka katika interview iliyofanywa na mtandao wa Perfect255 na kufunguka kwamba Vanessa Mdee ndiye msanii ambaye yupo akilini mwake kwa sasa kwa ajili ya project mpya ambayo wanategemea kuifanya.


0 comments:

Post a Comment