Two step verification ni huduma ya ulinzi ambayo imewekwa katika mtandao wa Whatsapp itakuwa inamrahisishia mtumiaji wa Whatsapp pindi anapokuwa anajiunga katika Whatsapp, basi atalazimika kuingiza password badala ya kuweka namba ya simu kama inavyofahamika.
Huduma hiyo kwa sasa inapatikana katika version ya 2.16.346, ila kwa watumiaji wengine ambao hawapo katika BETA Version itawalazimu kusubiri mpaka itakapotolewa.
0 comments:
Post a Comment