RAIS MAGUFULI AMETAJWA KWENYE TUZO ZA 'FORBES PERSON OF THE YEAR' 2016

Rais Dkt John Pombe Magufuli ametajwa kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year.’

person

katika tuzo hizo Rais Magufuli Anachuana na watu wengine wanne wakiwemo: Rais wa Mauritania, Ameenah Gulib, Mwanzilishi wa Capitec Bank, Michiel Le Roux na Thuli Madonsela wa Afrika Kusini pamoja na watu wa Rwanda.
Zimebaki takribani siku 22 za kupiga kura. Unaweza kumpigia kura Rais Magufuli kwa kubonyeza hapa.
Hadi sasa Rais Magufuli anaongoza kwa asilimia nyingi (73%).
Mwaka huu tuzo hizo zitatolewa jijini Nairobi, Kenya Novemba 17.
Hizi ni Takwimu za washindi wa tuzo hizo miaka ya nyuma
Mohammed Dewji (Tanzania)– 2015
Aliko Dangote (Nigeria)– 2014
Akinwumi Adesina (Nigeria) – 2013
James Mwangi (Kenya) – 2012
Sanusi Lamido Sanusi (Nigeria)- 2011

0 comments:

Post a Comment