
Jose mourinho alizungumza maneno ambayo wazi yalionekana kuwa hayakuwa mazuri juu ya muamuzi Anthony Taylor kuelekea mchezo huo liverpool vs manchester united.
mourinho alizungumza haya
"I have my view but i understood and i learned a lesson by being so many times by FA for saying some words about referees.
"I think Mr. Taylor is a very good referee.But i think somebody with intention is putting such pressure on him that i feel it will be difficult for him to have a very good performance."
Adhabu ya Jose mourinho inatokana na sheria zilizopo nchini uingereza na shirikisho la soka FA, kwa sheria za Uingereza makocha hawaruhusiwi kuzungumzia wahamuzi kabla ya mechi, hivyo basi Mourinho anahitajika kutoa majibu kwa upande wake wa utetezi kabla ya 31 october 6pm hili haweze kupewa faini.
0 comments:
Post a Comment