JOSE MOURINHO NA WAYNE ROONEY KWENYE UTATA

Image result for jose mourinho with wayne rooney

Baada ya miaka 12, michezo 532 na magoli 246, Wayne Rooney hatimaye ameambiwa yeye sio tena chaguo la kwanza katika kikosi cha Man united.

Image result for jose mourinho with wayne rooney

Kocha Jose Mourinho ameamua kuwafungukia washauri wa Wayne Rooney kuwa kamwe hatompanga tena Rooney kwenye kikosi chake cha kwanza, licha ya kutoonesha kutaka kumuuza.

0 comments:

Post a Comment