HII NDIO REKODI MPYA YA CHRISTIANO RONALDO NDANI YA LA LIGA....!

Katika Soka bara ulaya jina la Christiano Ronaldo si jina geni masikioni mwa wapenzi wa soka.
Image result for ronaldo new image

Ronaldo hapo jana amefanikiwa kuweka rekodi kubwa katika career yake ya soka la kulipwa, mara baada ya kufunga Hat-trick katika mechi ya jana na kufikisha Hat-tricks 31. ambayo imemfanya kuwa kinara wa R.Madrid kwa kufunga hat-tricks nyingi zaidi.

Haidha Christiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa Real Madrid wa kwanza kwa  kupachika  Hat-tricks katika La Liga tangu mnamo mwaka 2009-2016, pia ni msimu wake wa 8, hat-tricks 31, goli 266.

Miongoni mwa wachezaji wakubwa wa madrid wenye rekodi kubwa ya kupachika hat-tricks ni Di Stefano hat-tricks 22, akifatiwa na Ferenc Puskas hat-tricks 12
Image result for Di Stefano
Di Stefano
Lakini pia Ronaldo amekwisha zifunga Hat-tricks timu zote 19 zinazo shiriki ligi kuu ya uhispania La liga
Image result for Ferenc Puskas
Ferenc Puskas

0 comments:

Post a Comment