UKITUMIA GOOGLE KEYBOARD UNAPATA HUDUMA HIZI...

Google keyboard update-AA

Google keyboard imezindua update yake mpya kabisa na yenye sifa kemkem ambazo utazifurahia ukiwa na keyboard hii.

google keyboard help


google keyboard long press comma

Update hiyo itasaaidia wale ambao wanatumia simu zenye screen kubwa kuweza kutumia kwa mkono mmoja baada ya kuweka huduma ya One hand text massage ambayo pia tuliweza kuiona huduma hii katika simu za Huawei.

Ili kuipata huduma hiyo ya kutuma ujumbe mfupi wa maneno ni kwa kushikilia alama ya comma kwa mda mrefu ndipo unaweza pata huduma hiyo.

0 comments:

Post a Comment