SAHAU 3D TOUCH, MICROSOFT INAKULETEA HUDUMA MPYA YA PRE-TOUCH



Huduma ya 3D touch ilipoanzishwa katika simu kama Iphone 6S na Huawei Mate S watumiaji wa Smartphone walibaki kukuna vichwa kutokana na huduma hiyo.

Kampuni ya Microsoft nayo imekuja na Huduma mpya ambayo inaitwa PRE TOUCH huduma hii imekuja kufanya mapinduzi na huduma ya 3D TOUCH ambayo Micrososft wenyewe wanaamini huduma hii humchosha mtumiaji kwa kubonyeza simu yako kwa mda mrefu kwa nguvu ili kupata huduma hiyo.

Huduma ya PRE TOUCH itakuwa inafanyakazi ya kugundua mahali ambapo mtumiaji wa simu anapotaka kubonyeza hata kabla ujagusa kioo hicho cha simu yako.


0 comments:

Post a Comment