MAMA MZAZI WA TUPAC, AFENI SHAKUR AMEAGA DUNIA



Tupac’s Mother, Afeni Shakur, Dies Age 69

Mama mzazi wa mwanamuziki mkongwe wa miondoko ya Hiphop 2PAC, Afeni Shakur amefariki jana usiku wa Mei 2 alipokuwa katika Hospitali ya jirani na nyumba yao Sausalito, California.

Afeni ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 69 alihusika katika nyimbo ya marehemu mwanae 2pac ya Dear Mama iliyochezwa katika kipindi cha mwaka 1995

Mpaka kufikia kifo cha mwanae 2pac mwaka 1996 September, Afeni shakur aliweza ona kituo cha vipaji kilichoanzishwa na mwanae Tupac Amaru Shakur ambacho kilikuwa huko katika jiji la Stone Mountain, Georgia.



0 comments:

Post a Comment