Mshambuliaji kinda wa klabu ya Manchester United Marcus Rashford nyota yake imezidi kunga’aa baada ya kutajwa katika kikosi cha Uingereza kitakachoshiriki katika michuano ya Euro nchini Ufaransa mwaka huu.
Meneja wa timu ya taifa ya Uingereza Roy Hodgson amemtaja chipukizi wa Manchester United Marcus Rashford kwenye kikosi chake cha wachezaji watakaocheza Euro 2016.
Kikosi
Walinda lango: Joe Hart (Manchester City), Fraser Forster (Southampton), Tom Heaton (Burnley).
Mabeki: Gary Cahill (Chelsea), Chris Smalling (Manchester United), John Stones (Everton), Kyle Walker (Tottenham Hotspur), Ryan Bertrand (Southampton), Danny Rose (Tottenham Hotspur), Nathaniel Clyne (Liverpool).
Viungo wa kati: Dele Alli (Tottenham Hotspur), Ross Barkley (Everton), Fabian Delph (Manchester City), Eric Dier (Tottenham Hotspur), Danny Drinkwater (Leicester City), Jordan Henderson (Liverpool), Adam Lallana (Liverpool), James Milner (Liverpool), Raheem Sterling (Manchester City), Andros Townsend (Newcastle United), Jack Wilshere (Arsenal).
Washambuliaji: Wayne Rooney (Manchester United), Harry Kane (Tottenham Hotspur), Jamie Vardy (Leicester City), Daniel Sturridge (Liverpool), Marcus Rashford (Manchester United).
0 comments:
Post a Comment