JEZI ZA MSIMU MPYA KWA CHELSEA

33D3226100000578-3572731-Diego_Costa_models_Chelsea_s_new_shirt_which_was_launched_by_kit-a-41_1462357142722

Kupitia mtandao wa 101greatgoals.com leo May 4 2016 klabu ya Chelsea ya Uingereza imeonesha rasmi jezi zake itakazotumia msimu wa 2016/2016 katika mashindano mbalimbali ikiwemo ya Ligi Kuu Uingereza.

Jezi mpya za Chelsea watazivaa kwa mara ya kwanza katika mechi yao ya mwisho ya msimu wa 2015/2016 dhidi ya mabingwa wapya wa EPL Leicester City.

33D3232800000578-3572731-Chelsea_will_wear_this_adidas_shirt_next_season_as_they_bid_to_f-a-42_1462357151330

33D1EF6200000578-3572731-The_new_shirt_features_a_pattern_of_the_rampant_lion_taken_from_-a-40_1462357118745

33D25AD700000578-3572731-image-m-16_1462350715471

0 comments:

Post a Comment