FACEBOOK IMELETA REACTION EMOJI MPYA KWA AJILI YA SIKU YA MAMA DUNIANI

facebook-post
Katika kusherehekea siku ya Mama Duniani mtandao wa Facebook ulianza kutoa Emoji mpya ya ua(thanksful) ambapo watu Duniani kote kuitumia katika siku hii.

Kama umepata reaction emoji ya ua(thanksful) fanya kusambaza upendo kwa siku hii ya mama.




0 comments:

Post a Comment