ATU-MAMA, BOYZ 2 MEN (SWAHILI COVER)

IMG-20160505-WA0029

Katika kuelekea maadhimisho ya siku Mama duniani, natumai utakuwa umeandaa zawadi nyingi kwa mama yako, lakini cover hii ya kiswahili nyimbo ya Mama Boyz 2 men inaweza kuwa zawadi tosha kuonesha upendo kwa Mama yako kuwa jinsi gani unamjali.

Siku ya mama ni moja kati ya siku zinazosherekewa sana duniani na hii ni kwasababu mama ana nafasi kubwa kwenye maisha ya mtoto.

Cover hii imefanywa na mwimbaji Atu, mwenye miondoko ya RNB

0 comments:

Post a Comment