
Unapozungumzia ma rapper bora wa muda wote hapa Tanzania jina la Nikki wa pili lazma litakuwepo katika list licha ya kufanya vizuri katika muziki wa hip hop nikki wa pili anaingia tena katika list ya wasanii waliosoma zaidi/kupigabuku hiyo inakuja kuonyesha umahili mkubwa zaidi wa upande wa pili wa mkali huyo wa hit singo ya Baba salehe.
Nikki wa pili ni miongoni mwa wasanii waliotoka katika familia ya kawaida sana ambayo ili mpelekea kusoma na kufanya biashara ya kuuza sambusa sehemu mbali mbali za mutaa ya jiji la Arusha pamoja na hayo yote ya pilika pilika za hapa na pale Nikki alifanikiwa kuchaguliwa kujiunga na masomo ya secondary japokuwa alichaguliwa kwa matokeo ya awamu ya pili/second selection.
Hayo ni baadhi tu kwa kifupi katika maisha ya Nikki wa pili yanayo pelekea/kukupa picha ya wapi katoka na nikwa namnagani amepambana mpaka leo kuwa hapo alipo lakini dhamira ya makala hii ni kuzungumzia kazi yake ya muziki kwa ujumla ambayo imempa umaarufu mkubwa sana Tanzania na Afrika mashariki pamoja na nchi mbali mbali Afrika.
Nikki wa pili ametambuliswa kwenye kiwanda hiki cha mziki/tasnia ya muziki na wimbo uitwao Good Boy alio mshirikisha Rama dee katika korasi wimbo ambao ulipokelewa kwa mapokezi makubwa sana na pengine hata kuwashtua ma Rapper walio kuwa wanatamba kwa wakati huo hapo ndipo safari ya Nikki wa pili ilipoanzia wakati huo akiwa chini ya Kundi la liver Camp soldiers linalo undwa na wasanii kama Bonta marifa,Ras omega na ndugu yake wa damu / kaka yake Joh Makini ali maarufu kwa jina lingine la Mwamba wa kaskazini.
Kwa wakati ule muziki wa Hipo hop haukuwa na nguvu sana katika suala zima la kutoa video na hata kama ngoma ya hip hop ikifanyiwa videi inakua sio ya gharama sana na isipewe nafasi katika vituo vya runinga hiyo kasumba imepelekea mpaka leo baadhi ya wasanii wa hip hop kuto amini kabisa kuwa video inanafasi kubwa sana katika kuukuza mziki wao ukiringanisha na wasaniii wakuimba.
Ninaweza kusema kuwa Nikki wa pili mpaka sasa anaamini kasumbua hiyo kwani ameonekana mara chache zaidi katika luninga hasa katika video zake kwani anavideo takribani nne(4) ambazo ni Nje ya box,Pea,Boom kubam na Higher ampapo hizo ni nyimbo za muda mrefu kidogo na video zake zote zilipokelewa vizuri sana na mashabiki wake.
Miongoni mwa maswali ambayo amekua akikutananayo katika mahojiano/ interview mbalimbali swali la kutoa video limekuwa likijirudia mara kwa mara na kutoa ahadi ambazo zmekua zikipotelea juu kwa juu bila kuona xikitimizwa na tuziangalie baadhi ya ngoma zake ambazo pengine angezifanyia video zngempeleka katika hatua nyingine zaidi na hata kuongeza idadi kubwa ya mashabiki wa kazi zake kwani video kwa sasa zmekuw na nguvu kubwa zaidi kwa msanii kusaidia kumsukuma kimataifa zaidi.
SITAKI KAZI

Hakuna ambae hakuguswa/kukunwa na wimbo hasa kwa wapenzi wa muziki kwani ni wimbo ulio toa hamasa kubwa hasa kwa vijana kuwaasa waangalie vipaji vyao na wasitegemee kuajiriwa nakupelekea kuvipoteza vpaji vyao bira kuvionesha katika jamii wimbo wa staki kazi ulifanikiwa kushika nafasi mbali mbali katika chat za Radio na kukaa kwa muda mrefu ambapo bira kasumba ya kutotoa video ingemfanya kutengeneza historia kubwa katika muziki wa hip hop na kuifanya ngoma hiyo kuishi zaidi.
SAFARI
Uwezo wa kufikiri na ubunifu wa hari ya juu katika muziki ulimfanya Nikki wa pili kuwakutanisha wasanii takribani 6 ambao ni Nah real,Aika,Jux,Vanessa mdee,Joh makini na G nako nakufanikiwa kutoa bonge la collabo ambalo litaacha historia kubwa na kumbukumbu isiyo futika katika muzuki wa kizazi kipya/Bongo flava na pengine video ingefanyika ya wimbo huu tungeyaona mengi zaidi kwa msanii huyu hasa kupata collabo za nje na show nyingi zaidi.
BABA SWALEHE

Ni wimbo ulio tengenezwa na prudyuza Nah real ambae alie fanya hit singo ya Safari katika studio za The industry zilizopo mikocheni b jijini Dar es salaam baba swalehe ilileta story mpya katika muziki kwani masikio ya wengi hayakutegemea kubadilika kwa nikki wa pili katika ngoma hii kwani ili hit kwa kasi kubwa baada ya kutoka na ilikua ni lazima uisikie kila siku katika vituo mbali mbalo vya radio nchini na mashabiki walikuwa na shauku yakushuhudia video itakuaje kutokana na wimbo huo kuwa mzuri na kupendwa na kila lika lakini kutokana na kasumba ya nikki wa pili mpaka sasa ameamua kutusubirisha kama jux anavomsubiri ex wake jack cliff.
0 comments:
Post a Comment