YANGA YAISHUSHIA KIPIGO GD ESPERANCA KWA MABAO 2-0

Young africans(yanga) wametembeza kichapo cha mabao 2-0 kwa klabu ya Angola GD Esperanca, leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
IMG_0028
PICHA NA MILLARD AYO

Kwenye hatua ya mwanzo ya 16 bora ya michuano ya kombe la shirikisho barani afrika yanga imeweza fanya vizuri kwa kujipatia ushindi huo wa mabao 2-0

yanga ambao walipangwa na GD Esperanca baada ya kutolewa na Al Ahly ya Misrijumla ya goli 3-2 katika michuano ya klabu Bingwa barani Afrika

0 comments:

Post a Comment