Kundi la mziki kutoka Kenya Sauti soul wameachia wimbo maalumu kwa ajili ya kuwa kama kifungua kinywa pale uamkapo alfajiri.
Nyimbo hiyo imeandikwa na Sauti soul wenyewe pamoja na kushirikiana na Tim rimbui vilevile kurekodiwa na studio ya Tim Timwork.
"Wimbo ni mzuri na ni ukumbusho mwingine kwamba mwanzo mzuri ni kiashirio cha kwanza cha mwisho wake. ni muhimu kwamba staftahi inatayarishwa kwa ajili ya washindi kwanza tunakuwa hivi tulivyo kwa kile tunachofunguliwa kinywa asubuhi na siku njema huanza asubuhi" yamesema maelezo ya sauti soul
0 comments:
Post a Comment