Raisi mpya wa shirikisho la mpira wa miguu duniani(FIFA) Gianni infantino, ametoa kali baada ya kuonesha umahili wake wa mpira wa miguu kwa kuitsha mechi kati ya maofisa wa FIFA dhidi ya wachezaji wa zamani wakiwemo Deco, Luis Figo, Michel salgado, Fabio cannavaro, na wengine kwa ajili ya burudani.
GIANNI INFANTINO AONESHA MAKEKE BAADA YA KUAMUA APOKELEWE KWA MECHI OFISINI KWAKE
Raisi mpya wa shirikisho la mpira wa miguu duniani(FIFA) Gianni infantino, ametoa kali baada ya kuonesha umahili wake wa mpira wa miguu kwa kuitsha mechi kati ya maofisa wa FIFA dhidi ya wachezaji wa zamani wakiwemo Deco, Luis Figo, Michel salgado, Fabio cannavaro, na wengine kwa ajili ya burudani.
0 comments:
Post a Comment