Hits song nyingi sana za kitambo za Bongo Fleva hazikuwa na video na director Hanscana amejitolea kufanyia video zote za Hits song za Bongo fleva.
Hanscana ameamua kuanza kushoot video hizo kwa kuanzia na Temba na Dully sykes katika hits ya "Ndiyo yeye".
"Nimeamua kushoot ngoma zilizo hits miaka ya nyuma na kuzifanya video zenye muonekano wa kisasa" alisema Hanscana kupitia kurasa yake ya instagram
"kila baada ya miezi 3 nitakuwa naachia ngoma moja iliyokuwa iki hiti zamani" alimalizia Hanscana
0 comments:
Post a Comment