
Rapper 50 Cent amekanusha kuwa ana miliki Nyumba Afrika kupitia Hati mpya aliyoijaza ya kufirisika.
Kipindi cha nyuma kupitia ukurasa wa Instagram Rapper 50 alipost video ambayo ilikuwa ikimwonesha kuwa ni nyumba yake mpya ambayo ipo Afrika na kuandika maneno haya
“My crib is almost finished in AFRICA. I’m gonna have the creziest House warming party ever. I’ll explain later I got a good life Man.#EFFENVODKA#FRIGO#SMSAUDIO”
hii ni video
"I do not, nor have I ever owned, any real property in Africa,"
0 comments:
Post a Comment