WIZKID AONYESHA PICHA YA NYUMBA YAKE LOS ANGELS, MAREKANI

WIZZZZ

Kumiliki Nyumba Nchi za nje kwa Wasanii wa Afrika limekuwa jambo la kawaida sasa Baada ya Msanii Davido na P square kujenga nyumba zao Marekani imeekuwa jambo la kawaida sasa kwa wasanii Afrika Kuonesha jinsi gani mziki unavyolipa.

Msanii wizkid naye Kupitia mtandao wake wa Instagram amepost Mjengo wake mpya ambao uko Los Angels jijini Marekani.

wiz 2



WIZKID

0 comments:

Post a Comment