JAMALI MALINZI AMETUMA SALAMU ZA PONGEZI KWA GIANNI INFANTINO
Raisi wa shirikisho la soka Tanzania (TFF) jamali malinzi ametuma salamu ya pongezi kwa Raisi wa shirikisho la soka duniani(FIFA) Gianni Infantino kuchaguliwa kuwa kiongozi mpya wa shirikisho hilo la soka Duniani
Hii ndio barua ya pongezi iliyotumwa kwa Gianni infantino
SOURCE:tff.or.tz
0 comments:
Post a Comment