Katika maisha ya mwanadamu kila mtu ana ndoto za kufanikiwa katika maswala yake, iwe ni kufanikiwa kimasomo, kibiashara na hata kupiga hatua mbele katika maisha yanayokuzunguka.
Hizi ndizo njia sahihi ambazo zinaaweza kwa namna moja kufanya ndoto zako kufanikiwa
1:WEKA MALENGO YA KUKUIMARISHA
Kama una malengo madogo ni ngumu kuwa bora, weka malengo yako siku zote kwenye akili yako na utahisi kuimarika sio mbaya kuyandika. unajua pia uwezo wako na huo ndio ufunguo, lazima pia kuwe na dozi ya afya kujikosoa mwenyewe nini udhaifu wako? unaweza pata ujuzi mpya kukabiliana nao.
2:KAMWE USISAHAU THAMANI NA MADILI YAKO
Yote kwa yote, fahamu kuwa thamani na maadili fulani siku zote huwa msingi wa kuwa bora. Hutaibia mtihani, hutawekeza kwenye biashara chafu, uaminifu, usawa na maadili ni viut muhimu katika kuutafuta ubora
3:UNAWEZA KUKABILIANA NA VIKWAZO
Soma kitabu chochote unachotaka cha Historia za mafanikio kuanzia Albert Einsten, Nelson Mandella, Steaves Jobs Hadi Billgates wote walikuwa na kitu kimoja kinachofanana, walikutana na vikwazoz hawakufeli pia hawakukata tamaa.
4:UNA NIDHAMU
Unajua hatua gani kuzichukua kufanikisha mambo. weka malengo yako ya kila siku kwenye ngazi ya kila siku inayokuongoza kwenye kilele kitakacho kufanya kutuzwa. Hiyo inahitajika kujitoa kufanya kazi kwa bidii uvumilivu na hakuna njia za mikato.
5:UNATENGENEZA MARAFIKI, SIO MAADUI
Katika ulimwengu ngangali wa Biashara na mbio za panya unaweza kushawishika kutafuta kulipiza kisasi. matokeo yake sio mazuri na yatakuathiri. ukarimu utakusaidia na watu wako wa karibu maadui hawatakupigia simu ila marafiki watafanya hivyo.
6:UNAJUA JINSI YA KUWEKEZA KWENYE MUDA WAKO.
Matumizi ya muda yanasaidia, vitabu vingapi unaahitaji kuvisoma ili kujiimarisha katika mambo yako? unapataje muda wa kuvisoma vyote? Teknolojia inaweza kukusaidia kuwa bora kuna apps nyingi zinazoweza kukusaidia kila unachokitaka kujua kwa ufupi kwenye vitabu mbalimbali.
7:UNAJUA KUAWEKA USAWA KATI YA KAZI NA MAISHA MENGINE
Katika kutafuta furaha, watu wengi husahau mambo mengine muhimu katika maisha yao, kazi inachukua asilimia 95 ya maisha yao. Lakini kwa mabadiliko kidogo unaweza kubadilisha ubora wa maisha yako na kupata usawa wa kazi na maisha.
Niger Marsh anael;ezea baadhi ya mabadiliko hayo
0 comments:
Post a Comment