DAKIKA 2 ZA TRAILER YA MOVIE FAN ILIYOCHEZWA NA SHARUKH KHAN



Nimekusogezea trailer la movie mpya ya FAN iliyochezwa na Bollywood star Sharukh khan iliyongozwa na Manesh Sharma pamoja na Yash Raj film.

Fan ni miongoni mwa movie ambazo zinasubirirwa na mashabiki wengi Duniani, ni movie ambayo inazungumzia maisha ya Super star pamoja na Fans wake.


0 comments:

Post a Comment