Msanii wa Bongo fleva Diamond platnumz alipokuwa las vegas kutumbuiza katika Show yake, pia ametumia fursa ya kukutana na Neyo kumalizia ngoma yao iliyofanywa jijini Nairobi.
Alipokuwa las vegas star huyo aliingia studio na Neyo pamoja na producer Jesse Corporal wilson
Diamond platnumz akiwa na Hakeem wa Empire
0 comments:
Post a Comment