VIDEO: KAYUMBA-KATOTO

 

Kayumba Juma ni kijana mahiri anaye chipukia katika tasnia ya mziki wa Bongo fleva, ambaye alikuwa kidedea katika michuano ya Bongo star search.

Hii ndiyo video yake ya kwanza ambayo imeandaliwa na Director Justin Campos

0 comments:

Post a Comment