CHEZA GAME YA BASKETBALL KUPITIA FACEBOOK MESSENGER



Baada ya kutoa Mchezo wa Bao{chessgame} katika Facebook Messenger, safari hii Facebook Messenger wameleta tena mchezo wa Basketball katika Smartphone yako yani unaweza Cheza game ya Basketball katika Smartphone yako.

Ili uweze kucheza Game hiyo ni rahisi sana kwani kitu cha muhimu lazima uwe na Facebook Messenger Update ya mwsiho kabisa, uwe umeupdate Messenger yako.

JINSI YA KUCHEZA BASKETBALL GAME KATIKA FACEBOOK MESSENGER

1.FUNGUA FACEBOOK MESSENGER YAKO
Fungua facebook messenger yako kisha tafuta jina la mtu ambaye utataka umtumie Massage, fungua uwanja wa Message.



2.TUMA IMOJI YA BASKETBALL

Ukishatuma Emoji ya Basketball katika uwanja wa Message, ubonyeze huo mpira mala mbili(Double tap) kisha game yako itafunguka na kuanza kucheza Game ya siri katika Facebook Messenger

0 comments:

Post a Comment