WANAFUNZI WA SEKONDARY TZ WANAWEZA KUSOMA KUPITIA SMS



Kukua kwa Teknolojia kumeleta mambo mengi yafaida sana Nchini Tanzania, Kupitia Mtandao wa Habari wa millardayo na Ayotv ulifanya mahojiano na Dada Faraja Nyalandu ambae amekuja na Idea ya kuwasaidia wanafunzi wa Sekondari kujifunza kupitia Huduma ya Sms.

Katika Mfumo huu wa kusoma kupitia Sms, MAKINI SMS utamwezesha mwanafunzi wa Sekondary kuanzia kiadato cha kwanza hadi cha nne kwa kuchagua Masomo tisa ambayo yote yapo katika mtaala wa Taifa katika huduma hiyo MAKINI.

Makini Sms uzinduzi wake utafanyika katika shule ya Sekondary ya Azania baada ya kuwa na watumiaji wengi wa Huduma hiyo ya Makini Sms.


SOURCE:millardayo.com

0 comments:

Post a Comment