Timu ya Man united jana imefanikiwa kuingia hatua ya robo ya michuano ya FA baada ya kuitwanga ShrewsBury mabao 3-0.
Magoli hayo yalifungwa kupitia wachezaji Chris smallimg, Juan Mata na Jesse Lingard
Man United inajiandaa kukutana na West Harm katika hatua ya robo fainali ambapo mechizo zitashuka Dimbani mwezi Marchi 11 na 14 mwaka huu
0 comments:
Post a Comment