
Video ya Remix ya Wimbo wa Zigo imepewa ruhusa ya Kuchezwa usiku katika luninga za Bongo kwa mujibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
Taarifa hiyo iliyotolewa na TCRA ilikuwa kwenye ukurasa wa Twitter kujaribu kumwelesha msanii AY juu ya swala hiyo ya video ya Zigo remix kurushwa usiku katika luninga za nchini Tanzania
@TCRA_Tz @CloudsMediaLive video za nje tunaziona kwenye vituko vya ndani,nakumbushia sijajibiwa swali langu la maadili yapi niliyokiuka— LEGEND (@AyTanzania) February 22, 2016
@AyTanzania @CloudsMediaLive Wewe kwa mujibu wa Kanuni za Utangazaji hatuna tatizo na wewe ila vituo vya Tv kurusha Maudhui hayo mchana— TZ Communications (@TCRA_Tz) February 22, 2016
@TCRA_Tz @CloudsMediaLive Okay,naweza kujulishwa maadili gani yaliyokiukwa ili next time tusiyavunje— LEGEND (@AyTanzania) February 22, 2016
@AyTanzania @CloudsMediaLive Maudhui ya kuashiria ngono, matusi na maudhui ya watu wazima hutakiwa kurushwa saa 3-4 usiku hadi 11.30 asubuhi— TZ Communications (@TCRA_Tz) February 22, 2016
0 comments:
Post a Comment