JE UNAFAHAMU KUTUMIA KIFAA CHA KUZIMIA MOTO,KUKABILIANA NA MAJANGA YATOKANAYO NA MOTO? JIFUNZE KUPITIA VIDEO HII


Majanga ya moto yamekuwa ni tatizo kubwa katika baadhi ya maeneo hapa nchini kwetu na Dunia kiujumla kwa kusababisha Uharibifu wa mali na kupelekea vifo.

Leo Habarika itakujuza juu ya kutumia kifaa kidogo cha kuzima moto endapo moto umetokea katika eneo lako, Fire extinguisher wengi tunaifahamu,tunakutana nazo na zingine zipo majumbani kwetu, lakini je tunaweza kutumia kifaa hicho?

Kupitia video hii tutajifunza ya kupambana na majanga yatokanayo na moto kwa kutumia vifaa vya kuzimia moto.

0 comments:

Post a Comment