Mwamuziki kuoka Nigeria, Wizkid amepata shavu kutoka kwa mwanamuziki Alicia Keyz wa marekani kutumbuiza katika hafla ya Kampeni ya "Keep a child Alive".
Alicia keyz na mumewe Swizbeatz walionekana kupost matukio tofauti katika kurasa zao za instagram wakicheza ngoma ya " Ojuelgba" ya wizkid.
Kampeni hiyo ya "Keep a child Alive" itafanyika November 5 kwenye jiji la New york, amapo Alicia na Chris rock ndio watakuwa host wa kampeni hiyo.
Keep a child Alive ilianzishwa na mwanamuziki Alicia keyz, 2003 ikiwa na lengo la kupunguza maambukizi ya ukimwi kwa watoto.
0 comments:
Post a Comment