VIDEO: IYANYA ANAIMBA WIMBO WA VANESSA MDEE "HAMJUI"

Iyanya anajaribu kuimba ngoma ya Vanessa Mdee Hamjui, Hii inaonyesha mziki wa Bongo unazidi kukua kila siku na wasnii kutoka mataifa tofauti kukubali radha ya muziki wa kibongo.



0 comments:

Post a Comment