ULIOKUWA UONGOZI WA YOUNG DEE, UMETOA OFA YA VIDEO KWA KUNDI LA MTUCHEE

Kampuni ya Millioni Dollar Boyz(MDB) na studio za Authentic zinazoongozwa na CEO: Milan wametoa ofa ya Video ya nyimbo mpya ya kundi la Mtu Che.

Mtu che wameachia ngoma yao mpya ambayo rapper youngdee hayupo katika ngoma hiyo na kumwongeza rapper mwingine ambaye ni Youngkiller.

Rapper Young dee alikaririwa kuwa Uongozi wake wa(MDB) umemzuia member huyo kuendelea kuwa katika kundi hilo.

CEO: Millan yeye amesema hausiki na kujitoa kwa Youngdee katika kundi hilo la Mtu chee na vilevile kujitolea ofa ya video kwa wimbo wao huo mpya.



0 comments:

Post a Comment