Nyimbo ya "shauri zao kwa mara ya kwanza kutambulishwa kwenye kituo kikubwa cha luninga cha Ufaransa, Trace urban.
Mwanamuziki Belle 9 anakila sababu ya kufurahia mafanikio yake na ndoto zake za bila kukata tamaa kwenye tasnia hii ya muziki wa Bongo, Shauri zao ndio nyimbo ya kwanza ya mwanamuziki Belle kuchezwa katika luninga hiyo ya Ufaransa.
Belle 9 alishare picha na ujumbe mdogo kupitia ukurasa wake wa instagram
" Much respect and big time appreciation for ur support, our outmost gratitude goes goes out to the whole trace network @trace_urban@tracenigeria
Hii ni ishara mojawapo kwamba, kama kazi za wasanii zitawekwa vizuri na kusimamiwa kupata kitu bora zaidi, basi mziki wetu utafika mbali
Video ya Shauri zao ilitengenezwa na director marufu sana hapa Bongo na kushutiwa hapahapa Bongo kutoka kwa Hanscana
0 comments:
Post a Comment