Mapenzi ya kweli na ya dhati ni kitu kizuri sana ukiwa navyo kwenye mahusiano, na hii imetokea kwa Rapper mabeste na mke wake Lisa Fickenscher, kujichora tattou za jina la mwenzake kuonesha ni jinsi gani wanavyopendana kwa dhati.
What else do i need in this life??? Thanks Bae!!! I Love You Every Second of My Life Mabeste, I Thought Its A Joke!!. aliandika Lisa kupitia kurasa yake ya Instagram.
0 comments:
Post a Comment