UJIO WA ALBUM YA KWANZA KWA OMY DIMPOZ, DECEMBER

Kupitia mtandao wa habari wa bongo5 uliofanya mahojiano na Mwanamuziki wa miondoko ya Bongo fleva, Ommy dimpoz alizungumzia kuhusiana na kuchelewa kwa Album yake ambayo ilitegemewa kutoka kipindi cha Valentine na chanzo cha kuiharisha album hiyo ni kuhusu maswala ya uchaguzi. 
"So far nina nyimbo nyingi ambazo nimezirekodi, kwasababu kama nilivyoahidi tangia mwanzo nilikuwa na mpango wa kutoa album kwaajili ya mashabiki, ambayo sasa hivi kutokana na vuguvugu la uchaguzi ningekuwa tayari nimeshatoa lakini kutokana na kuupisha uchaguzi nimefikiria kuiahirisha hadi December"Alisema Omy Dimpoz kupitia Bongo5.


0 comments:

Post a Comment