Mastaa hawa wa muziki ambao pia ni mke na mume, Jay na Beyonce walipeana mahaba jukwaani kwenye tamasha la Tidal x:1020 lilofanyika jana, jijini New york.
Jay na Beyonce walishindwa zuia hisia zao walipokuwa jukwaani na kuamua kuoneshana mahaba.
Wawili hao ambao wana mtoto wao aitwaye Blueivy.


0 comments:
Post a Comment