VANESSA MDEE:HUWEZI FANYA VIDEO UKIWA NA IDEA YA PEKE YAKO

Mwanadada machachari Vanessa mdee anaye hits na ngoma yake ya" Never ever" na mshindi wa tuzo za Afrimma,amesema kuwa huwezi fanya video yako ukiwa na idea ya peke yako, lazima uangalie wenzako wanafanya nini.



Vanessa alisikika jana katika luninga ya EATV kwenye kipindi cha Friday Night, kwa kuzungumzia kwamba video yake ya Never ever inafananishwa na Video ya mwanadada Ciara ya Dance like we are making love.
Vanessa mdee "Never ever"

Ciara "Dance like we are making love"

"Hamna idea ambayo utashoot mtu mwingine ambayo haijafanya, watu wamesha shoot kila sehemu, watu wamesha shoot ndani ya maji, watu wamesha shoot angani, so kila kitu kimesha fanywa na nimesikia mengi tu kuhusu hii video yangu ya Never ever kwamba inafanana na ya Nicki minaj, Beyonce"Alisema Vanessa mdee

0 comments:

Post a Comment