TRAILER YA DOCUMENTARY YA BIBI KIDUDE

Mtengenezaji wa filamu kutoka uingereza Andy Jones ameeandaa Documentary mpya ya maisha mwanamuziki mkongwe wa miondoko ya taarabu asilia, marehemu Fatuma binti Baraka maarufu kama Bi Kidude.
Bi kidude aliyefariki miaka miwili iliyopita kwa kusumbuliwa na Maradhi ya kisukari na uvimbe kwenye kongosho,aliaga dunia April 17, 2013 huku mazishi yake yaliongozwa na Raisi wa Tanzania Mh Jakaya Mrisho Kikwete huko Zanzibar.

0 comments:

Post a Comment