CHRIS BROWN, "ROYALTY" ALBUM COVER

Chris Brown, mwanamuziki wa miondoko ya pop(26) aliweka picha ya Album yake ambayo inaitwa Royalty, kwa heshima ya bintiyake.
Album cover hiyo inamwonesha Brown akiwa kifua wazi, huku binti yake akiwa amejilaza kifuani kwa baba yake na Brown akiwa amemkumbatia.

Tangia amekuwa baba, chrisbrown maisha yake yamebadilika kwa kiasi kubwa kwani anasema anapenda mziki ila mwane ndio kitu cha kwanza zaidi kabla ya mambo mengine.

Breezy ameshaachia ngoma kama "Zero"
pamoja na "Liquor".

Album ya Royalty itatoka rasmi kuanzia November 27.

0 comments:

Post a Comment