VANESSA MDEE: NEVER EVER "THE WAIT IS ALMOST OVER"

Mwanamuziki Vanesa Mdee a.k.a Veemoney, ngoma yake ya Never ever ipo kwenye chungu kishaiva tiyari bado kupakuliwa tu na Kimepitia kwa mtalaam Nahreel ndiye ameitengeneza ngoma hii ya "Never ever"
12132694_1094257307260539_59070332_n

Huku akitupa ladha nzuri ya maneno kwamba "the wait is almost over"

11849303_769746243171391_1283579521_n

0 comments:

Post a Comment