Huu ndio mjengo mpya wa Jay na Beyonce walio panga kwa dola milioni 45 ambao unapatikana huko Los Angels, ni mjengo waliohamia baada ya kupewa notic kwenye mjengo walio toka,
Jay na Beyonce wameamua kuja kutulia jiji la L.A ili kuweza kumkuza mtoto wao Blue Ivy kwenye mjengo huo wa dola milioni 45......sio mchezo ukiangalia hao ni mabilionea wakubwa tu kwenye tasnia hii ya muziki.
Mandhari ya nje ya nyumba
0 comments:
Post a Comment