KAKA WA MSHAMBULIAJI WA BARCELONA LIONEL MESSI, MATIAS MESSI ANASHIKILIWA NA POLISI KUMILIKI SILAHA KINYUME CHA SHERIA

Brothers of Barcelona's player Lionel Messi, Rodrigo (left) and Matias, attend a training session of Barcelona at the Parc des Princes stadium in Paris on 14 April 14, 2015

Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi akiwa na kaka yake Matiasi Messi anayeshikiliwa kwa kosa la kumiliki silaha kinyume cha sheria.
Matias Messi alisimamishwa na maafisa wa polisi wakati wa ukaguzi siku ya jumapili.
Polisi wanasema kuwa Matias mwenye umri wa miaka 33 alikataa kuonyesha vibali vyake aliposimamishwa katika mji wa Rosario.
Polisi walilikagua gari lake na kupata bunduki ambayo Matias ameshindwa kutoa kibali chake cha umiliki

0 comments:

Post a Comment