VANESSA MDEE: "NEVER EVER" OCT 9 ASUBUHI NDANI YA TRACE URBAN

Kaa tayari kushuhudia video ya Mwanadada Vanessa Mdee kupitia luninga yaTrace urban oct 9 saa 8 na dakika 53 ya asubuhi kwenye luninga yako.

Huku tukiwa na shauku kubwa ya kuiona video hiyo ya "Never ever", Vanessa pamoja na wasanii wengine kama Diamond platnum tiyari wameshaelekea kuhudhuria Tamasha la Afrimama ambalo linafanyika Marekani huku wasanii kama Diamond platnum, Ally kiba, Khadija kopa, Mrisho mpoto,

Tuzo za Afrimama zinatarajiwa kuanza rasmi hapo jumamosi 10 Dallas Texas

0 comments:

Post a Comment